Francis | Abracadabra
Francis | Abracadabra
February 14, 2025 at 01:00 PM
Je, Unajua *Sheria* Za Ulimwengu? ... *THE LAW OF THE UNIVERSE* ... • Zipo Ngapi? • Zinafanyaje Kazi Kwenye Maisha Yako? ... Niko So Excited, Kwasababu Nakuandalia Maandiko Kuhusu Sheria Zote 12 Za Ulimwengu. Utafahamu Mengi! Na Pengine Ulikuwa Unayajua Ama Kutokujua. ... Kuna Siri Nyingi Sana Zimejificha, Kwenye Ulimwegu Huu Unaonekana Kwa Macho, Ambao Unatengenezwa Na Ulimwengu Usioonekana Kwa Macho ... Stay Tune! .... ^Abracadabra^

Comments