
Francis | Abracadabra
February 17, 2025 at 09:00 PM
Hali Yoyote Mbaya Unayopitia Sasa Hivi,
Ni Sehemu Ya "Human Expirience"
Mtu Yeyote Mwenye Mwili,
Lazima Apitie Expirience Zote Mbili.
Na Ndizo Zinazotengeneza Balance.
Kwahiyo.
...
Na Hizi Expirience Zote Unazitengeza Mwenyewe,
Kutoka Kwenye Akili Yako Mwenyewe.
...
Wewe Ndio Utachagua Ulione Tatizo Ni Tatizo,
Au Ulione Tatizo Ni Fursa Ya Kufikia Unachokitaka.
...
Wewe Ndio Utalitengeneza Tatizo Alafu,
Utaanza Kulilaumu Tatizo Badala Ya Kuamua Kulitatua.
...
Perception Yako Namna Unavyokichukulia,
Chochote Ndicho Kitakutengenezea Reality Utakayoiishi!
Na Ndio Maana Nakwambia,
Jitahidi Sana.
Kufikiri +Ve,
Maana...
Fikra Zako Ndio Zinahusika Kwa Kiasi,
Kikubwa Kushape Kila Unachokiona Kwa Macho.
...
*^Abracadabra^ *
👍
❤️
✌️
✍
💪
💯
🔥
🙏
🧠
12