Francis | Abracadabra
February 18, 2025 at 05:53 AM
Hakuna Mtu Ambaye Maombi Yake Hayajibiwi,
Leo Nitakwambia Kwanini?
Ok.
Mara Nyingi Huwa Hatupendi Majibu Ya Maombi Yanavyokuja,
Leo Nitazungumza Na Wewe Kwa Mfano,
...
Imagine Wewe Ni Mwajiriwa, Umeajiriwa Na
Unalipwa Mshahara Mzuri Tu!.
Lakini Ikifika Muda Wa Kuomba/Kusali.
Unamuomba Mungu Akupe Biashara Yako Au Kampuni Yako.
Miaka Inasonga Muda Unaenda,
Inafika Wakati Mungu Anajibu Maombi Yako Kwa Mtindo Huu.
...
Ghafla Kazini Unapofanyia Kazi Kunatokea Tatizo,
Tatizo Hilo Linakuwa Kubwa Kiasi Kwamba Kampuni
Inashindwa Kukuvumilia,
Inakufukuza Kazi!.
...
Then Hatua Inayofuata Mungu Anakupitisha Kwenye,
Financia Crisis,
Unaishiwa Pesa Na Kila Unayemgongea Mlango
Hakuna Wa Kukusaidia.
...
Kinachotokea.
...
Wewe Badala Ya Kuanza Kuona Ile Ni Fursa Ya Ulichokiomba,
Yaani "Divine Redirection"
Unaanza Kuliona Lile Tatizo Kama Ni Tatizo,
Badala Ya Kuona Lile Tatizo Ni Redirection,
Ya Kuanza Safari Yako Mpya!
Ya Kuanzisha Biashara / Kampuni Yako.
...
^Abracadabra^
👍
❤️
🙏
💯
😢
🧠
24