
Francis | Abracadabra
February 25, 2025 at 07:58 AM
Je, Ulishawahi Kujiuliza Kwanini,
Watu Wengine Wanasikilizwa Na Kupewa Attention,
Alafu Wewe Kila Unapoongea Watu Wanakupuuza,
Wanaendelea Na Mambop Yao?
...
Sasa Leo Naenda Kukupa UCHAWI Pekee Wa KU-CONTROL;
Uwepo Wako Kati-Kati Ya Kundi La Watu.
Na Kuweza Kuteka Nguvu,
Ya Ushawishi Kupitia Maneno Yako.
...
Ndani Wa Sekunde 3 Zijazo Nitakupa,
Mbinu Hii Ambayo Pia Nimekuwa Nikiitumia,
Katika Mishe Mishe Zangu Za Kile Siku,
Ninapokutana Na Watu,
Na Imekuwa Ikinipa Matokeo 100% Guaranteed.
...
Mbinu Hii Pia Imefanya Kwa Kiasi Kikubwa,
Watu Wapende Kunisikiliza Kila,
Ninapotaka Kuongea.
Maana Inateka "ATTENTION" Na Nguvu,
Ya Ushawishi Wa Kutaka Kunisikiliza.
...
Nilikuwa Ni Miongoni Mwa 97% Ya Kundi Kubwa...
La Watu Ambao Wakiwa Wanaongea,
Wanaongea Kwa Kupayuka (Sauti Ya Juu)...
Lakini Baada Ya Kujua Siri Hii,
Everything Changed For Good!.
Usijali...
Sekunde Chache Zijazo..
Nitakupa Siri Hii,
Na Wewe Ukaitumie Katika Michongo Yako.
...
Wakati Nasoma Vitabu Kadhaa.
Na Kutizama Video Kadhaa...
Za Namna Unaweza KU-INFLUENCE
Watu Na Kufanya Wakusikilize..
Na Sio Tu Kukusikiliza,
Na Wafanye Vile Unavyotaka Wafanye...
50Cent Katika Kitabu Chake,
“HUSTLE HARDER, HUSTLE SMARTER”
↳ Ukurasa Wa 141
“POWER OF PERCEPTION”
Ametoa Siri Hii.
...
50Cent Anasema Alishauriwa Na,
Moja Ya Rafiki Zake Bruce Willis ( Yule Mwigizaji)…
Akamwambia,
“Whenever You’re Around A Lot Of People,
And Everyone’s Trying To Be Heard,
"The Secret: IS TO SPEAK AS SOFTLY AS POSSIBLE.”
Umeelewa?
Najua Umeleewa Bhana,
Haina Haja Ya Kutafsiri Si Ndio👍🏾..
Ha ha hah ha ha ha
...
Ok,
Namna Gani Unaweza Apply,
Hii Strategy Na Ikaleta Matokeo Makubwa.
Kwenye Michongo Yako.
Fanya Hivi,
1. Kila Unapokutana Na,
Washakaji Zako Au Kwenye Interview Au Sehemu Popote.
Au Upo Kwenye Kundi La Watu,
Hakikisha Wewe,
Sio Mtu Wa Kuongea Mara Kwa Mara…
↳ Ongea,
Unapotakiwa Kuongea Tu, Na Si Vinginevyo.
↳ Siri Ni Kuwa,
Ukimya Wako Unakusanya Nguvu Za Ajabu.
Ongea Taratibu,
↳ Mara Tu Unapopata Nafasi Ya Kuongea,
↳ Na Hapa,
Siri Ni Kuongea Maneno Yenye Ushawishi Zaidi...
BONUS:
↳ Hakikisha Umekuwa Mtu Wa Mwisho Kuongea.
...
Je,
Utashindwa Kufanya Hayo Mambo Ma-5i Tu?
Hivyo Ndivyo Unavyoweza Ku-Control Uwepo Wako…
Na Kuteka Ushawishi Mkubwa Kati Kati Ya Washkaji Zako Au Makundi Ya Watu…
...
By The Way: Jifunze Kuwa Calm ( Mtulivu ),
Kwenye Kwenye Hali Zote Unazopitia.
Usi-React Kwenye Kila Kitu,
Vitu Vingine Unavi - Observe
Na Unaviacha Vipite...
Na Unaacha UKIMYA Uchukue,
Nafasi Ya Kukuongoza.
...
^Abracadabra^
👍
❤️
🙏
🔥
✍
👏
💯
😂
😮
🚀
31