Francis | Abracadabra
Francis | Abracadabra
February 27, 2025 at 10:20 AM
Tafsiri Ya Jinsi Ulivyo Unayojipa Wewe Kwenye Akili Yako. Lakini... Ukweli Ni Kwamba! ... Akili Yako Haina Uwezo, Wa Kukutafsiri Jinsi Ulivyo. Na Ndio Maana, ... Unaweza Kujitafsiri Kama Mtu Mpole, Usiependa Mambo Ya Ajabu... Lakini Ghafla Tafsiri Hiyo Inabadilishwa, Na Tukio Moja Tu!. Mpaka Unajishangaa, ↳ "Huyu Ni Mimi Kweli?" ... WEWE SIO AKILI YAKO, Akili Ni Kifaa (Tool) In Spiritual World Wanaita (Portal). Akili Inatumika Kupitisha "Taarifa na Maarifa" Kutoka Kwenye Dimensions Tofauti Tofauti! Na Ndio Maana Leo Uko Hivi, Kesho Uko Vile... ... Utaniuliza: Francis Huyo "Mimi' Ni Nani Sasa? ↳ Kama Mimi Sio Akili Yangu! ... Jibu Ni Rahisi Kabisa: ▻ Wewe Ni Yule Unaitizama Akili Yako Wakati Unafikiri. ( OBSEVER ) ▻ Wewe Ni Yule Unayeamua Akili Yako Iwaze Nini Na Ipokee Taarifa Gani? ▻ Wewe Ni Yule Unayeinyamazisha Akili Yako Isifikiri Kuhusu Chochote. ▻ Wewe ni Yule Unaye-command Akili yako Ifanye Unavyotaka. Huyo Ndio WEWE! An Watcher of Your Own Mind! ... ^Abracadabra^
❤️ 👍 🙏 💯 🔥 😮 🫡 16

Comments