SAMALEN TV
SAMALEN TV
February 14, 2025 at 05:58 PM
🔥 Aina za Mashambulizi ya Kihacker Unazopaswa Kuzifahamu 🔥 1️⃣ Spyware 🕵️‍♂️💻 Hizi ni aina za malware ambazo zinatumika kupeleleza vifaa vya wahanga (victims). Mfano mzuri ni Spy App, ambayo ukishaiinstall kwenye simu ya mtu mwingine, unaweza kufuatilia taarifa zake kama ujumbe wa maandishi, simu, na hata mahali alipo. Unaingia kwenye website yao, unajisajili kwa kutumia email na password yako, kisha unapata taarifa zote za mlengwa wako. 🌍 Website yao: https://www.spappmonitoring.com 2️⃣ Phishing 🎣📩 Phishing ni mbinu ya kuhadaa mtu ili atoe taarifa zake binafsi kama nywila (passwords), namba za kadi, au taarifa nyingine muhimu. Hii hufanyika kwa kutumiwa links bandia kwenye email, SMS, au mitandao ya kijamii. Ukibonyeza link hizo, unaweza kuelekezwa kwenye tovuti inayofanana na ya kweli lakini inakusanya taarifa zako kwa ajili ya matumizi ya kihalifu. 3️⃣ Screen Control / Remote Access Trojan (RAT) 🖥️🔴 Hii ni mbinu inayomruhusu hacker kuona kila unachofanya kwenye simu au kompyuta yako. Akipata udhibiti (control), anaweza kutumia kifaa chako kama chake mwenyewe. Hii ni hatari sana, hasa kama una data binafsi kama picha, akaunti za benki, na taarifa za siri. 4️⃣ WiFi Attacks 📶💀 Kama unapenda kuunganisha WiFi za watu hovyo hovyo, kuwa makini! Hackers wanaweza kutengeneza WiFi bandia (fake WiFi hotspots), na ukiunganisha wanapata njia ya kuingilia simu au kompyuta yako. Suluhisho ni kununua data zako mwenyewe au kutumia WiFi unazoziamini pekee. 5️⃣ Malicious Apps 📱☠️ Malware sio tu "virusi," bali zinakuja kwa aina nyingi tofauti, kila moja ikiwa na kazi yake maalum. Mfano: Spyware: Kupeleleza vifaa vya watumiaji Phone Damage Apps: Kuharibu simu yako Ransomware: Kufunga data zako hadi ulipie ili ufunguliwe Adware: Kuonyesha matangazo yasiyotakiwa 6️⃣ Ads Clicking Attacks 🎯🚨 Mara nyingi, tunapokuwa tunavinjari (browsing) kwenye Chrome au browsers zingine, tunakutana na matangazo (ads) yasiyotakiwa. Usiwe mwepesi kubonyeza kila tangazo unaloona, kwani baadhi yake yanaweza kukupeleka kwenye tovuti za phishing au kuinstall malware kwenye kifaa chako bila wewe kujua. 7️⃣ Email Attacks 📧⚠️ Hackers hutumia email kutuma malware au phishing scams. Ukipokea email kutoka kwa mtu usiyemfahamu, usiifungue, na zaidi usifungue attachments zake. Wakati mwingine, hata email zinazonekana kuwa za kweli zinaweza kuwa hatari. 🚨 Jilinde kwa kutumia tahadhari hizi: ✅ Usibofye links usizozijua ✅ Tumia antivirus bora ✅ Usiunganishe kwenye WiFi za bure bila uhakika ✅ Weka two-factor authentication (2FA) kwenye akaunti zako ✅ Usidownload apps nje ya Play Store au App Store 👉 Share na wengine ili nao wajifunze! 🔥 https://chat.whatsapp.com/HsT7V7ovZgS5bqjsSeAa8D https://whatsapp.com/channel/0029Va8TpHhIXnlvWRqcxM3Q
🙏 1

Comments