MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
February 28, 2025 at 03:57 PM
🤏 *BAADHI YA NCHI ZIKIWEMO EMIRATES, OMAN, QATAR, SAUDIA*
WAMETANGAZA KUONEKANA KWA MWEZI - NA HIVYO SIKU YA JUMAMOSI HII TUNAAMKA NA FUNGA.
*Tanbiih;* Kwa mwenye kufata mwezi wa sehemu husika [mwezi wa mji wake] asubirie mpaka utakapotangazwa na mamlaka kamili na atakayepata taarifa hizo anaweza kutujulisha.
Baaraka llaahu fiikum