
MEFTAHUL 'ULUUM πππ
108 subscribers
About MEFTAHUL 'ULUUM πππ
π€"Tafuteni elimu, mkishindwa kutafuta elimu basi wapendeni wenye elimu, mkishindwa kuwapenda basi msiwachukie"π
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

πΈοΈπ’πΈοΈ Darsa ya tafsiir ya Qur-an Hii ni ya wate - katika masomo yetu ya on-line Karibuni - leo tunamalizia maelezo ya suuratu al Naazi'at kipande cha mwisho. Muda ni saa mbili na nusu. Tutawatumia link in shaa Allaah Baaraka llaahu fiikum

π *ZINDUKA NA HILI* π’ ***************** Amesema Hatimul Aswamm _rahimahu llaahu:_ *"Mambo manne hawayajui thamani yake isipokuwa watu wa sampuli nne:* 1.Thamani ya vijana/ujana hakuna anayeijua isipokuwa wazee. 2.Thamani ya afya hakuna aijuaye isipokuwa waliopatwa na mabalaa/maafa. 3.Thamani ya siha hakuna aijuaye isipokuwa wagonjwa. 4.Thamani ya uhai haukuna anayeijua isipokuwa maiti (waliokufa). β’β’β’β’β’β’β’β’β’β’β’β’ π *Tanbiihul Ghaafiliina - [1/39]*


*KUJIUNGA NA DARSA YA TAFSIIR YA QUR-AN* click this link: π https://meet.google.com/mid-cieb-wkg *Muda:* 20:30 Baaraka llaahu fiikum

πΈοΈ *TAFAKARI NA HILI* πΈοΈ ____________________ Amesema Al imamu Ibnul Qayyim _rahimahu llaahu:_ _*"Vipi anakuwa ni mwenye akili yule mwenye kuiuza pepo kwa (kufanya) kile ambacho ndani yake kuna matamanio ya saa (muda tu mfupi)??*"_ βͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈΒ€βͺοΈΒ€Β€βͺοΈΒ€βͺοΈΒ€βͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈβͺοΈ π Al fawaaid - (1/60)


*KAULI ZA WANACHUONI* _____________________ Amesema Ibnul Jawziy _rahimahu llaahu:_ *"Pindi Allaah akimpendelea mja wake kheri, humfanyia wepesi ulimi wake kumswalia Muhammad _swalla llaahu 'alayhi wasallama"_* ************* π *Bustanul waa'idhwiina* - [300]

π *HADITHI:* Amesema Mtume _swalla llaahu 'alayhi wasallama:_ *"Yeyote atakayefikia sehemu (ya makazi) akasema: _A'uudhu bikalimaati llaahi al taammati min sharri maa khalaqa_ hakuna chochote kitakachomdhuru mpaka atakapoondoka kwenye makazi yake hayo"* _____________ π Swahihu Muslim - 2708]

π *JITIBIE NA HILI*π __________ Amesema 'Abdu llaahi bnu 'Awn _rahimahu llaahu:_ _*"KUWATAJA WATU NI UGONJWA NA KUMTAJA ALLAAH NI DAWA"*_ _________ π Siyaru A'alaami al Nubalai - (6/369) βNENO: Maana ya maneno hayo ni kuwa - sisi tumeshaugua na gonjwa hili la kuwasema watu hivyo tujitibie kwa kukithirisha kumtaja Allaah - wala hakuna tija ya kuwataja watu bali tija na utukufu na tiba ipo katika kumtaja Allaah kwa wingi. Baaraka llaahu fiikum


*USIKUBALI KUUPOTEZA MUDA WAKO KWA MAMBO YA HOVYO* ___________________ β Kazi yako au shughuli yako isikuzuie kutekeleza haki ya Allaah _Wengi wetu wamekuwa wakishughulishwa na mambo yasiyowahusu na kuacha kuyashughulikia yale yaliyo ya wajibu kwao_ β Kwa mfano mtu atakuwa mfatiliaji mzuri wa habari zinazoendelea ulimwenguni kila *updates* anasoma kwa wakati lakini wakati huo huo anashindwa na kuiangalia nafsi yake katika mambo ya wajibu kwake, kama vile swala na kutafuta elimu. βSasa hivi waislamu huketi sehemu kusikiliza mahubiri ya kanisani na kuacha kusikiliza darsa na khutba za dini yao. Sababu kubwa ni njaa za madaraka na kuitupilia mbali dini yao. Je, unaswali? Je, unaswali inavyotakiwa? Umejifunza mafunzo ya swala kwa usahihi? Unaweza kumkuta mtu huyu asiyejua lolote katika dini yake akawa yupo mstari wa mbele kujua nani amekufuru na nani yupo kwenye haki, kipi ni halali kipi ni haramu. βAkili yako isikuzidi spidi - ikakuoumbaza na kusahau lengo la kuumbwa kwako. Acha kujipa uwana habari wa kujitolea kwa mambo yasiyokuwa na maslahi kwako. Hebu iweke sawa nafsi yako na nafsi za ndugu zako wa karibu, familia yako umeisaidiaje na kuileaje katika maadili sahihi? β Tubadilike kwa kufata sheria za Allaah - kwa kutekeleza maamrisho yake na kujiweka mbali na makatazo yake. Baaraka llaahu fiikum