GWIJI WA HIGHBURY
GWIJI WA HIGHBURY
February 3, 2025 at 05:37 AM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( 5 goals Won ) ✍🏾 Kimsingi Arsenal jana alistahili Ushindi Aliopata. ✍🏾 Man City kwa sasa Wana shida sana kuzuia Transition hawapo Physical sana hawa Kasi , Iki kitu Arsenal alitumia Kama Siraha. ✍🏾 Kuwa Invite City then kuwapiga Transition Au Kuwapress high wakipoteza mpira kuwashambulia hapo hapo kwa Kasi. ✍🏾 ukipata nafasi kufunga Dhidi ya City basi tumia ndio kilifanyika jana. ✍🏾 Partey and Declan Rice 🙌🏾 ✍🏾 Hale end Products muda uwa mwalimu mzuri subira imewalipa hawa vijana kwa sasa wana deliver kwenye Big stage. ✍🏾 Sema tunahitaji Consitency Amigos
👍 ❤️ 7

Comments