
GWIJI WA HIGHBURY
321 subscribers
About GWIJI WA HIGHBURY
Channel kwa Ajiri ya chambuzi za Arsenal kiujumla ( Men, Women, Academy) pamoja na taarifa Arsenal kiujumla
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( Football pyramid Ngazi ya team ) โ๐พ Kuna Kijana ambao Wengi wameanza kumuona hivi majuzi baada kwenda team Dubai. โ๐พ Lakini kiuhalisia ni kinda ambae ana train na Senior team siku nyingi tu Arteta alikuwa anamuita Kutrain na Wakubwa. โ๐พ Ni promising Talent kama sikosei ni Left footer wachezaji Arteta anawapenda Sana Kwa sasa ana Miaka 15 kama alivyo kuwa Nwaneri kipindi icho anapewa Debut EPL na Arteta huyu huyu. โ๐พ Pasina Shaka kama Kijana akikubali kuji commit na Club Naiona nafasi yake kikosini sababu Versatility aliyo aliyo nayo. โ๐พ Swali Je Arteta bado hawapi nafasi Vijana? nafasi ni timing sio kulazimisha ni risk kupoteza vipaji vingi angali bado havijafika prime sababu majeraha story Wilshear itufunze. Amigos

Unaweza shere post zetu na kualika wadau Wengine

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY โ๐พ licha kwamba Tupo Finyu kikosi asa ushambuliaji hakuna Namna Arsenal ndio team Yetu tuendelee Kusupport haina maana kwamba Tusikosoe. โ๐พ Lakini Sasa Kwa vile Dirisha january kwa Mazingira yaliyopo kwa Sasa kwa upande Wetu ni Worst transfer Window sababu mahitaji yetu na hatukifanikiwa kutimiza. โ๐พ Lakini Sasa Summer kuna deals ambazo ni Lazima Zifanyike No Excuses kwa mujibu vyanzo baadhi Arsenal wana weza kukamilisha Deals kusajili 1. Goal keeper ( Garcia ) kutoka Espanyol kama mbadala wa Raya Arsenal alipo kwenda kucheza na Girona uko Spain, Arsenal walifanikiwa kuongea na wakala Garcia pia 2. Arsenal kusajili CDM hapa wakiwa wamefanya Background Work kubwa na uhakika mkubwa Zubimendi kuvaa jezi Arsenal msimu ujao kutokana pia Jorginho kuondoka. 3. Arsenal Wanahitaji Winger sina habari yeyote ya uhakika japo kuna taarifa za Williams. 4. Arsenal Kusajili CS ( Central Striker ) na hapa ndio hitaji kubwa lilipo na inasemekana Arsenal bado wanaweza kurudi kwa Sesko wamefanya mazungumzo January ata February kuona kama deal litawezekana ata ikishindikana kuna option Nyingine kama Gyokers au Isack itategemea nature ya deal Financial package. Amigos

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( Availability is a Key ) โ๐พ Unafikiri kwanini nimenza tittle hiyo [AVAILABILITY IS A KEY] ni kwa sababu za msingi zifuatazo. โ๐พ Ukiwa na Uwepo wa Wachezaji wako wengi ambao ni Key players inakupa Advantage kufanya Vizuri. โ๐พ Unapokuwa na Wachezaji wako muhimu ni faida pia kimbinu sababu haitikulazimu kuchange game plans kila siku ili kuweza kuendana na wachezaji waliopo. โ๐พ Unapokuwa na Wachezaji wako Muhimu ata morali ya upambanaji inakuwepo kwa hali juu kikosini. โ๐พ Lakini sasa kukosekana kwa wachezaji Asa Majeruhi ni Risk sana sababu itakulazimu kubadili mara kwa mara game plans, Na sio mara zote italulipa hii. โ๐พ Nakumbuka Msimu jana Liver alipatwa Injury nyingi kupelekea kutoka nafasi 1 mwezi 12 adi kumaliza nafasi 3,Pia Man City msimu huu hawajawa na msimu bora majeruhi hao hao Mpaka kocha wao anasema " Nipeni wachezaji wangu nifanye vyema " akilia na Majeruhi โ๐พ Sasa kukosekana wachezaji kumetukuta Arsenal msimu huu ukicha ukosoaji Kocha kajitahidi sana mpaka sasa kuendana na Hali hii kukosa wachezaji muhimu 15 games Unbeaten Epl na majeruhi yaliyopo ni kazi. โ๐พ Lakini sasa hii hali sio Nzuri kama itaendelea kuwa hivi Tunahitajika kuwa Injury free asa kipindi iki mwishoni msimu ( Availability is a Key ) Amigos

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( 5 goals Won ) โ๐พ Kimsingi Arsenal jana alistahili Ushindi Aliopata. โ๐พ Man City kwa sasa Wana shida sana kuzuia Transition hawapo Physical sana hawa Kasi , Iki kitu Arsenal alitumia Kama Siraha. โ๐พ Kuwa Invite City then kuwapiga Transition Au Kuwapress high wakipoteza mpira kuwashambulia hapo hapo kwa Kasi. โ๐พ ukipata nafasi kufunga Dhidi ya City basi tumia ndio kilifanyika jana. โ๐พ Partey and Declan Rice ๐๐พ โ๐พ Hale end Products muda uwa mwalimu mzuri subira imewalipa hawa vijana kwa sasa wana deliver kwenye Big stage. โ๐พ Sema tunahitaji Consitency Amigos

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( Maoni After baada Dirisha kufungwa ) โ๐พ Kitu cha Msingi cha kwanza Usajili ni Muhimu kwenye kuboresha, Kuongeza Nguvu, au kujenga kitu kipya. โ๐พ Sasa Tujiulize Arsenal kwanini wasajili, Kwasasa Arsenal anaboresha sio kujenga upya sababu kikosi anacho ambacho kina Compete msimu 3 sasa. โ๐พ Lakini Maboresho Lazima yafanyike kwa Makini sio bora maboresho nikiwa na maana usajili tunatakiwa kufanya lazima tulete mtu ambae anakuja kuleta impact moja kwa Moja Asa nafasi kama hiyo CF. โ๐พ Kwa Dirisha hili January Profilic striker kuwapata ni changamoto pia Team nyingi hazitaki kuwapoteza wachezaji wao Bora january na wakawa hawana Replacement. โ๐พ Mfano Isack,Sesko Leipigz waligoma kabisa kuuza, Gyokeres, Nae ni same Case usajili wake unawezekana zaidi Kiangazi. โ๐พ kwa Mazingira haya ni changamoto ata mimi naelewa Binafsi, kuepuka Panic buy alafu baadae ikaja kuwa mzigo kwenye Wages Bills kuangaika kuoffload. โ๐พ Lakini sasa "My Constructive Critism" Arsenal ata kocha amekiri mara nyingi press conference kwamba eneo forward tupo very short in options baada kuumia Saka na Jesus Ambae ni Long term. โ๐พ Kwa Mazingira haya Arsenal alitakiwa atafute ata mchezaji Short term Fixing walau hapo hapo Epl ndio Maana wakaenda kwa Watkins wakatoa dau ยฃ 40m ndio ilikuwa maximum Villa akitaka ยฃ 60m deal likafa Sababu Financial resources. โ๐พ Hawawezi kufanya mkopo kwa mchezaji epl mfano kina fergason sababu tayari wana wachezaji 2 mkopo hapo hapo epl Neto, Stearing. โ๐พ Mkopo inawezekana Nje England ambapo Binafsi naona kama hawakujiandaa sana kama wangejiandaa tangu Jesus kaumia Sidhani kama wangekosa Options. โ๐พ Zaidi kusubiri Mwishoni kuanza kuangaika na Wanted out players kama Kina Tel hapa binafsi naweza kusema Arsenal walikuwa slow kureact. โ๐พ Lakini sasa kuliko Panic Buy kwa muda mwishoni bora kujipanga na ulicho nacho Saka Mwezi 3 anarudi Trosard anaweza kupokezana na Kai adi hiyo Summer hakuna namna nyingine. Amigos

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY (From Grassroot to Senior team) โ๐พ Hawa vijana hapa Chini wametoka Academy Arsenal "Hale end" โ๐พ Wapo vijana Wengi Wazuri walipita uko Ila hawakufanikiwa Kufika stage hii, Kwahiyo walipo hawa Vijana kwa Sasa ni Archivement or Ambition kubwa kwa Kila mchezaji wa Academy. โ๐พ Nakumbuka Wakati kina Greenwood wanaondoka kina Chido wanaondoka, Nk ila Nwaneri akikataa Offer nono kuendelea kulipa Fadhira kwa Kocha na team kwa Kumpa Debut EPL akiwa Miaka 15 tu. โ๐พ Nafikiri sasa hivi hakuna anaejiuliza Arteta aliona nini kwa huyu kijana. โ๐พ Skelly Licha Wengi wetu jicho mwanzoni kuishia kwa Nwanweri zaidi ila kuna huyu bwana mdogo ametokea kunasa pia Mioyo fans Wengi. โ๐พ Skelly ni Midfielder asili yake ila Arteta kamleta hapo LB na Anafanya kazi ipasavyo โ๐พ Hawa Vijana kwa sasa wana aminiwa mno kikosini pengine kuanza game mbele Senior players. โ๐พ Mara Mwisho Arsenal kumfunga City 5-1 ilikuwa miaka hiyo 2003 enzi za Invincible. โ๐พ Ila Leo Vijana wanakuwa moja ya misumari ya Moto kwa Pep guadiola Side tangu 2008 mara mwisho City kufungwa goal 5 au zaidi Away Amigos

๐ ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY โ๐พ Kabla Msimu 2024/2025 kuanza Aliondoka Aliyekuwa CEO Vinai Venkentesham Licha kuondoka kwakwe Arsenal hawakufanya mabadiliko ya Nje bali walipromote nafasi hiyo watu waliokuwepo Arsenal Tayari. โ๐พ Nafasi Ambayo Richard Garlick alipewa kusimama Kama Managing Diretor uku Edu akiwa Sporting Director akisaidiwa na Ayto. โ๐พ Kumbuka hapo hapo Non Executive Officer Tim Lewis huyu ni mtu mmoja karibu sana na Kroenke Ni Mwanasheria Mzuri tu alimsaidia Kroenke kununua Hisa 2011 uko. โ๐พ Tukumbuke sasa Kazi kuendesha Taasisi kubwa Kama Arsenal inahitaji Experience kwenye maswala ya utawala na Sera. โ๐พ Bila shaka waliobaki Baada kuondoka Edu pia sioni kama wana Experience kubwa kuendesha Taasisi kama Arsenal bila kuwa na Mtu mwingine mwenye experience kubwa kufanya nao Kazi. โ๐พ Licha Edu kuwa alikuwa na Muda mfupi ila alikuwa kaishajenga channells Nyingi kwenye maswala ya Recruitment Rofauti kidogo na Ayto. โ๐พ Galrick aliwahi kufanya kazi Arsenal ila sio kwenye nafasi aliyopo kwa sasa ata alipoenda FA uko. โ๐พ Tuje Hoja Msingi kwasasa Arsenal kuna shake-up kidogo baada kuondoka kwa Edu na Vinai tunahitaji mtu mwenye Experience kufanya kazi na hawa sio kufanya kupanga pangua waliopo kuna kitu tuna miss. โ๐พ Mfano Dirisha hili Kiangazi tulikuwa Very short tulitakiwa walau kuwa Active kwa kiasi fulani. โ๐พ Ila Suggestion za Ayto zote zikikataliwa alimtaka Tel na Morata na Board haikusanction sababu inahitaji Long term players. โ๐พ Unaweza kuona kitu hapo kwenye pointing Ayto? experience kwenye recruit inaweza kuwa sio standard tunahitaji. โ๐พ Deal la Watkins Board ilikubali lakini chini ya Limited fund au Valuation. hapa sasa unawakuta kina Lewis ndio walioweka sera za Cost Cutting measures. โ๐พ Mwisho Nafikiri Tunahitaji Sporting Director mwenye Vision na Experience kubwa Zaidi Ayto kwa Sasa anaweza kuendelea kuwa msaidizi tunahitaji Mtu ambae anaweza kuwa push wengine to the best. Amigos