GWIJI WA HIGHBURY
GWIJI WA HIGHBURY
February 4, 2025 at 09:20 AM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( Maoni After baada Dirisha kufungwa ) ✍🏾 Kitu cha Msingi cha kwanza Usajili ni Muhimu kwenye kuboresha, Kuongeza Nguvu, au kujenga kitu kipya. ✍🏾 Sasa Tujiulize Arsenal kwanini wasajili, Kwasasa Arsenal anaboresha sio kujenga upya sababu kikosi anacho ambacho kina Compete msimu 3 sasa. ✍🏾 Lakini Maboresho Lazima yafanyike kwa Makini sio bora maboresho nikiwa na maana usajili tunatakiwa kufanya lazima tulete mtu ambae anakuja kuleta impact moja kwa Moja Asa nafasi kama hiyo CF. ✍🏾 Kwa Dirisha hili January Profilic striker kuwapata ni changamoto pia Team nyingi hazitaki kuwapoteza wachezaji wao Bora january na wakawa hawana Replacement. ✍🏾 Mfano Isack,Sesko Leipigz waligoma kabisa kuuza, Gyokeres, Nae ni same Case usajili wake unawezekana zaidi Kiangazi. ✍🏾 kwa Mazingira haya ni changamoto ata mimi naelewa Binafsi, kuepuka Panic buy alafu baadae ikaja kuwa mzigo kwenye Wages Bills kuangaika kuoffload. ✍🏾 Lakini sasa "My Constructive Critism" Arsenal ata kocha amekiri mara nyingi press conference kwamba eneo forward tupo very short in options baada kuumia Saka na Jesus Ambae ni Long term. ✍🏾 Kwa Mazingira haya Arsenal alitakiwa atafute ata mchezaji Short term Fixing walau hapo hapo Epl ndio Maana wakaenda kwa Watkins wakatoa dau £ 40m ndio ilikuwa maximum Villa akitaka £ 60m deal likafa Sababu Financial resources. ✍🏾 Hawawezi kufanya mkopo kwa mchezaji epl mfano kina fergason sababu tayari wana wachezaji 2 mkopo hapo hapo epl Neto, Stearing. ✍🏾 Mkopo inawezekana Nje England ambapo Binafsi naona kama hawakujiandaa sana kama wangejiandaa tangu Jesus kaumia Sidhani kama wangekosa Options. ✍🏾 Zaidi kusubiri Mwishoni kuanza kuangaika na Wanted out players kama Kina Tel hapa binafsi naweza kusema Arsenal walikuwa slow kureact. ✍🏾 Lakini sasa kuliko Panic Buy kwa muda mwishoni bora kujipanga na ulicho nacho Saka Mwezi 3 anarudi Trosard anaweza kupokezana na Kai adi hiyo Summer hakuna namna nyingine. Amigos
👍 🙏 3

Comments