
GWIJI WA HIGHBURY
February 5, 2025 at 12:06 PM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
(From Grassroot to Senior team)
✍🏾 Hawa vijana hapa Chini wametoka Academy Arsenal "Hale end"
✍🏾 Wapo vijana Wengi Wazuri walipita uko Ila hawakufanikiwa Kufika stage hii, Kwahiyo walipo hawa Vijana kwa Sasa ni Archivement or Ambition kubwa kwa Kila mchezaji wa Academy.
✍🏾 Nakumbuka Wakati kina Greenwood wanaondoka kina Chido wanaondoka, Nk ila Nwaneri akikataa Offer nono kuendelea kulipa Fadhira kwa Kocha na team kwa Kumpa Debut EPL akiwa Miaka 15 tu.
✍🏾 Nafikiri sasa hivi hakuna anaejiuliza Arteta aliona nini kwa huyu kijana.
✍🏾 Skelly Licha Wengi wetu jicho mwanzoni kuishia kwa Nwanweri zaidi ila kuna huyu bwana mdogo ametokea kunasa pia Mioyo fans Wengi.
✍🏾 Skelly ni Midfielder asili yake ila Arteta kamleta hapo LB na Anafanya kazi ipasavyo
✍🏾 Hawa Vijana kwa sasa wana aminiwa mno kikosini pengine kuanza game mbele Senior players.
✍🏾 Mara Mwisho Arsenal kumfunga City 5-1 ilikuwa miaka hiyo 2003 enzi za Invincible.
✍🏾 Ila Leo Vijana wanakuwa moja ya misumari ya Moto kwa Pep guadiola Side tangu 2008 mara mwisho City kufungwa goal 5 au zaidi Away
Amigos
❤️
👍
🙏
5