
GWIJI WA HIGHBURY
February 9, 2025 at 01:41 PM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
✍🏾 Kabla Msimu 2024/2025 kuanza Aliondoka Aliyekuwa CEO Vinai Venkentesham Licha kuondoka kwakwe Arsenal hawakufanya mabadiliko ya Nje bali walipromote nafasi hiyo watu waliokuwepo Arsenal Tayari.
✍🏾 Nafasi Ambayo Richard Garlick alipewa kusimama Kama Managing Diretor uku Edu akiwa Sporting Director akisaidiwa na Ayto.
✍🏾 Kumbuka hapo hapo Non Executive Officer Tim Lewis huyu ni mtu mmoja karibu sana na Kroenke Ni Mwanasheria Mzuri tu alimsaidia Kroenke kununua Hisa 2011 uko.
✍🏾 Tukumbuke sasa Kazi kuendesha Taasisi kubwa Kama Arsenal inahitaji Experience kwenye maswala ya utawala na Sera.
✍🏾 Bila shaka waliobaki Baada kuondoka Edu pia sioni kama wana Experience kubwa kuendesha Taasisi kama Arsenal bila kuwa na Mtu mwingine mwenye experience kubwa kufanya nao Kazi.
✍🏾 Licha Edu kuwa alikuwa na Muda mfupi ila alikuwa kaishajenga channells Nyingi kwenye maswala ya Recruitment Rofauti kidogo na Ayto.
✍🏾 Galrick aliwahi kufanya kazi Arsenal ila sio kwenye nafasi aliyopo kwa sasa ata alipoenda FA uko.
✍🏾 Tuje Hoja Msingi kwasasa Arsenal kuna shake-up kidogo baada kuondoka kwa Edu na Vinai tunahitaji mtu mwenye Experience kufanya kazi na hawa sio kufanya kupanga pangua waliopo kuna kitu tuna miss.
✍🏾 Mfano Dirisha hili Kiangazi tulikuwa Very short tulitakiwa walau kuwa Active kwa kiasi fulani.
✍🏾 Ila Suggestion za Ayto zote zikikataliwa alimtaka Tel na Morata na Board haikusanction sababu inahitaji Long term players.
✍🏾 Unaweza kuona kitu hapo kwenye pointing Ayto? experience kwenye recruit inaweza kuwa sio standard tunahitaji.
✍🏾 Deal la Watkins Board ilikubali lakini chini ya Limited fund au Valuation. hapa sasa unawakuta kina Lewis ndio walioweka sera za Cost Cutting measures.
✍🏾 Mwisho Nafikiri Tunahitaji Sporting Director mwenye Vision na Experience kubwa Zaidi Ayto kwa Sasa anaweza kuendelea kuwa msaidizi tunahitaji Mtu ambae anaweza kuwa push wengine to the best.
Amigos
👍
🙏
5