
GWIJI WA HIGHBURY
February 10, 2025 at 02:19 PM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
( Football pyramid Ngazi ya team )
✍🏾 Kuna Kijana ambao Wengi wameanza kumuona hivi majuzi baada kwenda team Dubai.
✍🏾 Lakini kiuhalisia ni kinda ambae ana train na Senior team siku nyingi tu Arteta alikuwa anamuita Kutrain na Wakubwa.
✍🏾 Ni promising Talent kama sikosei ni Left footer wachezaji Arteta anawapenda Sana Kwa sasa ana Miaka 15 kama alivyo kuwa Nwaneri kipindi icho anapewa Debut EPL na Arteta huyu huyu.
✍🏾 Pasina Shaka kama Kijana akikubali kuji commit na Club Naiona nafasi yake kikosini sababu Versatility aliyo aliyo nayo.
✍🏾 Swali Je Arteta bado hawapi nafasi Vijana? nafasi ni timing sio kulazimisha ni risk kupoteza vipaji vingi angali bado havijafika prime sababu majeraha story Wilshear itufunze.
Amigos
👍
4