
GWIJI WA HIGHBURY
February 14, 2025 at 06:41 AM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
✍🏾 licha kwamba Tupo Finyu kikosi asa ushambuliaji hakuna Namna Arsenal ndio team Yetu tuendelee Kusupport haina maana kwamba Tusikosoe.
✍🏾 Lakini Sasa Kwa vile Dirisha january kwa Mazingira yaliyopo kwa Sasa kwa upande Wetu ni Worst transfer Window sababu mahitaji yetu na hatukifanikiwa kutimiza.
✍🏾 Lakini Sasa Summer kuna deals ambazo ni Lazima Zifanyike No Excuses kwa mujibu vyanzo baadhi Arsenal wana weza kukamilisha Deals kusajili
1. Goal keeper ( Garcia ) kutoka Espanyol kama mbadala wa Raya Arsenal alipo kwenda kucheza na Girona uko Spain, Arsenal walifanikiwa kuongea na wakala Garcia pia
2. Arsenal kusajili CDM hapa wakiwa wamefanya Background Work kubwa na uhakika mkubwa Zubimendi kuvaa jezi Arsenal msimu ujao kutokana pia Jorginho kuondoka.
3. Arsenal Wanahitaji Winger sina habari yeyote ya uhakika japo kuna taarifa za Williams.
4. Arsenal Kusajili CS ( Central Striker ) na hapa ndio hitaji kubwa lilipo na inasemekana Arsenal bado wanaweza kurudi kwa Sesko wamefanya mazungumzo January ata February kuona kama deal litawezekana ata ikishindikana kuna option Nyingine kama Gyokers au Isack itategemea nature ya deal Financial package.
Amigos
👍
🫡
7