GWIJI WA HIGHBURY
GWIJI WA HIGHBURY
February 18, 2025 at 08:22 AM
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ( Availability is a Key ) ✍🏾 Unafikiri kwanini nimenza tittle hiyo [AVAILABILITY IS A KEY] ni kwa sababu za msingi zifuatazo. ✍🏾 Ukiwa na Uwepo wa Wachezaji wako wengi ambao ni Key players inakupa Advantage kufanya Vizuri. ✍🏾 Unapokuwa na Wachezaji wako muhimu ni faida pia kimbinu sababu haitikulazimu kuchange game plans kila siku ili kuweza kuendana na wachezaji waliopo. ✍🏾 Unapokuwa na Wachezaji wako Muhimu ata morali ya upambanaji inakuwepo kwa hali juu kikosini. ✍🏾 Lakini sasa kukosekana kwa wachezaji Asa Majeruhi ni Risk sana sababu itakulazimu kubadili mara kwa mara game plans, Na sio mara zote italulipa hii. ✍🏾 Nakumbuka Msimu jana Liver alipatwa Injury nyingi kupelekea kutoka nafasi 1 mwezi 12 adi kumaliza nafasi 3,Pia Man City msimu huu hawajawa na msimu bora majeruhi hao hao Mpaka kocha wao anasema " Nipeni wachezaji wangu nifanye vyema " akilia na Majeruhi ✍🏾 Sasa kukosekana wachezaji kumetukuta Arsenal msimu huu ukicha ukosoaji Kocha kajitahidi sana mpaka sasa kuendana na Hali hii kukosa wachezaji muhimu 15 games Unbeaten Epl na majeruhi yaliyopo ni kazi. ✍🏾 Lakini sasa hii hali sio Nzuri kama itaendelea kuwa hivi Tunahitajika kuwa Injury free asa kipindi iki mwishoni msimu ( Availability is a Key ) Amigos
👍 🙏 🫡 6

Comments