Duro Crypto
Duro Crypto
February 2, 2025 at 02:27 PM
*Mtaji wa Jumla wa Soko la Crypto ni Nini?* Mtaji wa jumla wa soko (total crypto market cap) ni thamani ya jumla ya Bitcoin, altcoins, stablecoins, tokeni, na mali zingine za kidijitali. Kwa nini ni muhimu? Kwa sababu inatuonyesha ukubwa wa sekta nzima ya crypto na jinsi inavyokua au kupungua kwa muda. Mfano: Kabla ya mwaka 2017, mtaji wa soko la crypto haujawahi kuvuka $20 bilioni. Mwaka 2018, ulifika hadi $770 bilioni kabla ya kushuka tena. Soko la crypto linapanda na kushuka (volatility), lakini mwelekeo wake wa muda mrefu ni wa ukuaji.

Comments