Duro Crypto
February 3, 2025 at 03:44 PM
*Habari mpya:* David Sacks, ambaye ni mtaalamu wa fedha za kidijitali na mshirika wa Donald Trump, anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari kesho ili kujadili jinsi ya kuhakikisha Marekani inakuwa kinara katika matumizi ya mali za kidijitali. 🇺🇸
📅 Tarehe: Jumanne, Februari 4, 2025
⏰ Muda: Saa 10:30 Usiku (EAT)
📍 Mahali: Jengo la Ofisi ya Seneti Dirksen
Viongozi wa Seneti na Bunge pia wanatarajiwa kushiriki.
👍
1