
Duro Crypto
February 9, 2025 at 09:03 AM
4 .Hatua za Kununua
1. Weka kiasi cha pesa unachotaka kutumia (mfano, TZS 100,000).
2. Chagua njia ya malipo (mfano, Mobile Money).
3. Bonyeza [Preview Order] ili kuona maelezo ya muamala.
4. Bonyeza [Buy] ili kuthibitisha ununuzi.
Baada ya kuthibitisha, Bitcoin itaingia kwenye akaunti yako ya Binance.
❤️
1