
Duro Crypto
February 11, 2025 at 04:20 PM
*Capital Investment Entrant Scheme (CIES)* ni mpango wa Hong Kong unaolenga kuvutia wawekezaji matajiri kwa kuwapa visa ya ukaazi ikiwa watawekeza kiasi fulani cha fedha katika mali zinazokubalika.
Mpango huu unahitaji mwombaji kuthibitisha utajiri wa angalau HK$30 milioni ($3.8 milioni USD). Hong Kong sasa inakubali Bitcoin (BTC) na Ethereum (ETH) kama sehemu ya uthibitisho wa utajiri huo, mradi tathmini imethibitishwa na mhasibu aliyesajiliwa.
Lengo ni kuvutia wawekezaji wa kimataifa ili kukuza uchumi wa Hong Kong.
🔥
1