
YESU NI JIBU
January 31, 2025 at 04:57 AM
Yesu ni Chanzo Cha mema yote katika maisha ya Mwanadamu, Wote waliomchagua huwaepusha na mabaya na kuwaoa nuru ya milele.
Uwe na SIKU njema.
*Zaburi 34:5--* Wakamwelekea macho wakatiwa nuru, Wala nyuso zao hazitaona haya.