YESU NI JIBU
February 1, 2025 at 04:15 AM
Mungu sasa anayo majibu ya mambo yako yote, muite sasa yu tayari kukulipa mema.
Weekend hii ukasome neno la Bwana Ili upate kusitawi.
*Yeremia 33:3--* Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
🙏
1