YESU NI JIBU
February 2, 2025 at 08:18 AM
Jumapili ya leo ukapokee kipawa Cha roho mtakatifu na Kufanyika mwana wa Mungu.
*Yohana 1:12--* Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;