YESU NI JIBU
February 4, 2025 at 05:02 AM
Mungu anayajua mapito yako, maumivu na Maangaiko uliyo nayo, Usikate TAMAA, Mbele yako ni ya thamani.
*Ayubu 23:10* --Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.
🙏
2