YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 5, 2025 at 05:14 AM
Maisha ya Maombi na MFUNGO ni maisha ya Mshindi kwa kila aliyempokea kristo. Ili huduma (utumishi) ukue, Ili Biashara na familia zistawi, Chagua maombi na Mifungo. Yesu Kristo ni kielelezo hai.Usipuuze Tena kufunga na Kuomba *Mathayo 17:21--* [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] Yesu asema tena juu ya Kufa na Kufufuka kwake
👏 1

Comments