YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 6, 2025 at 04:49 AM
Je unampenda Mungu!!? Udhibitisho pekee ya kuwa unampenda Mungu ni kusoma Neno lake, Kulishika,na Kulitenda. *Yohana 14:23* --Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
🙏 1

Comments