YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 7, 2025 at 04:49 AM
*Je ni mangapi umeyaona ni upuuzi katika kanisa au kwa Watumishi??* Mwanadamu ni kumbe Cha kiroho kinachoishi katika ulimwengu wa mwili na nyama. Jifunze kuyaishi maisha ya rohoni, Usimkufuru roho mtakatifu Wala kupingana na kazi yake. *1 Korintho 2:14* --Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Comments