YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 8, 2025 at 08:23 AM
Usichoke kumtafuta Mungu, omba SIKU zote , mtake Yeye na Nguvu zake nawe utaona Ushindi. *Zaburi 105:4--* Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote.

Comments