YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 10, 2025 at 04:38 AM
*Wiki hii ikawe ya Ushindi Maishani mwako,* Bwana yu tayari Kukubariki kati ya maadui zako. Piga shangwe Bwana atakutukuza zaidi. *Zaburi 23:5* --Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.

Comments