YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 11, 2025 at 04:56 AM
Nakutangazia habari njema kwa jina la Bwana yesu Kristo, kila baya lililosemwa juu yako halitakuwa, kila mitego ya adui imeshindwa. Litukuze jina la Yesu milele. *ISAYA 7:7* --Bwana MUNGU asema hivi, Neno hili halitasimama wala halitakuwa.
🙏 1

Comments