
YESU NI JIBU
February 14, 2025 at 06:42 AM
Mshukuru Mungu kwa kila jambo,kama ajatenda Jana, leo kuwa na uhakika kuwa atatenda kesho, atakufuta machozi na kukupa furaha
*Zaburi 136:1--* Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
🙏
1