
YESU NI JIBU
February 15, 2025 at 05:57 AM
Usiwaze sana juu ya kesho yako, Magonjwa yako, familia yako, ndoa yako, Biashara zako, watoto wako, matatizo uliyonayo Mungu anayajua, Mkabidhi Yeye, weka Imani kwake nawe utaona Ushindi.
*Zaburi 37:5* --Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
#yesinijibu
❤️
🙏
2