
YESU NI JIBU
February 16, 2025 at 07:21 AM
*Unataka Yesu leo akutendee Nini??*
Omba lolote naye atafanye, omba kwa imani
*Yohana 3:36--* Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia.
#yesunijibu
🙏
1