
YESU NI JIBU
February 18, 2025 at 04:43 AM
Je unajua kuwa Mungu ni BWANA wako!? Mtii na kumtumikia naye atakuokoa katika tabu zako na kukuinua juu zaidi.
*Isaya 43:11* --Mimi, naam, mimi, ni BWANA, zaidi yangu mimi hapana mwokozi.
#yesunijibu #wokovunisasa