YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 19, 2025 at 06:26 AM
Mungu anayajua unayoyapitia, Omba kushinda mitihani hiyo naye atakutukuza hakika, wewe ni Mshindi *Ayubu 23:10--* Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. #yesunijibu #wokovunisasa
🙏 1

Comments