
YESU NI JIBU
February 20, 2025 at 04:53 AM
Mungu anakuona, Mungu anakusikia, Mungu Yuko tayari kutenda jema SIKU ya leo, Mtukuze kwa aliyowahi kufanya juu yako.
*Zaburi 150:6* ---Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.
#yesunijibu #wokovunisasa