
YESU NI JIBU
February 22, 2025 at 02:58 AM
Kitu chochote unachokipitia, kisicho ondoa roho yako jua kina kuimalisha.
Kuwa na furaha tupu na kumshukuru Mungu kwa unayoyapitia, hakika utaona wema wa BWANA.
*Yakobo 1:2--* Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;
#yesunijibu #wokovunisasa
🙏
1