
YESU NI JIBU
February 25, 2025 at 05:46 AM
Wema ni akiba mbele za Mungu, tendea watu mema SIKU zote. BWANA uwapa upedeleo (Neema) watendao mema, wabeba mzigo ya Wengine.
*Mithali 12:2--Mtu* mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
#yesunijibu #wokovunisasa
🙏
1