YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
February 26, 2025 at 05:29 AM
Unadhani Mungu amekuacha!?, Unahisi Mungu haoni unayoyapitia!!? Endelea kumtafuta Jehovah Bwana wetu kwa moyo wako wote, Mtazame Yeye, hakika atatenda. *Yeremia 29:13--* Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. #yesunijibu #wokovunisasa

Comments