
YESU NI JIBU
February 27, 2025 at 05:02 AM
Una lipi leo la kuwambia watu kwa lile Mungu amekufanyia?? Yakumbuke yote BWANA aliyowahi kukutendea, kuwa na Imani kuwa hata katika hilo ulilomwamba atafanya.
*Zaburi 118:17* --Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
#yesunijibu #wokovunisasa
🙏
1