YESU NI JIBU
YESU NI JIBU
March 1, 2025 at 05:48 AM
Kumcha Bwana ni Hazina ya Akiba, Tumia wikendi yako kutafakari njia za BWANA andaa moyo wako kwa ajili ya ibada. Yesu ANAKUITA. Isaya 33:6--Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba. #yesunijibu #wokovunisasa

Comments