Tanzeel Foundation
Tanzeel Foundation
March 1, 2025 at 07:12 PM
*"Ramadhan Kareem! 🌙✨ Mwezi wa baraka, rehema na msamaha umetufikia tena. Tanzeel Foundation inawatakia Waislamu wote Ramadhan yenye amani, ibada na ukaribu na Mwenyezi Mungu. Tufanye mwezi huu kuwa wa kujitakasa, kusaidiana na kueneza upendo katika jamii zetu. 🤲🏽❤️* #ramadhankareem #barakazaramadhan #tanzeelfoundation"
❤️ 2

Comments