𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
February 7, 2025 at 06:44 AM
Habari Njema kwa wanafamilia wa Femclinic Healthcare service, Tunaomba kuwakumbusha kuwa tarehe 08 February siku ya Jumamosi Mpaka Tarehe 10 February siku ya Jumatatu Daktari Mshauri wa Magonjwa ya Wanawake Atakuwepo kutoa Huduma ya ushauri bure kwa Magonjwa ya Wanawake kuanzia saa tatu Asubuhi Mpaka Saa saba Mchana. Nyote Mnakaribishwa
Unaweza kufanya booking online kwa kugusa link hapo Chini ili kujisajili katika orodha ya watakao Pata Huduma hii.
Jisajili Hapa https://t.co/xYNd016N2H
Kwa msaada zaidi piga no: 0747290559