๐—™๐—˜๐— ๐—–๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ๐—– ๐—›๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—ง๐—›๐—–๐—”๐—ฅ๐—˜ ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—ฉ๐—œ๐—–๐—˜, ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”
๐—™๐—˜๐— ๐—–๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ๐—– ๐—›๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—ง๐—›๐—–๐—”๐—ฅ๐—˜ ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—ฉ๐—œ๐—–๐—˜, ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”
February 11, 2025 at 11:06 AM
Habari Njema kwa wanafamilia wa Femclinic Healthcare service, Tanzania Tunaomba kuwakumbusha kuwa kesho siku ya Jumatano ,tarehe 12 February 2025 Mpaka Tarehe 15 February 2025 kutakua na Kliniki ya Ugonjwa wa Kisukari Doctor Fedrick Mpenda Mshauri wa Magonjwa ya Ndani Atakuwepo Huru kupitia Mtandao(online) kutoa Huduma ya ushauri wa Lishe,Vipimo,Matibabu Na Mazoezi kwa wagonjwa wa Kisukari. Karibuni sana kwa wote wenye uhitaji kwa changamoto ya Kisukari, Mda ni Kuanzia saa Nne Asubuhi Mpaka Saa Kumi Jioni. Usisite kumwalika Ndugu,Jamaa Au Rafiki Kwani Huduma Hii ni BURE. Nyote Mnakaribishwa Unaweza kufanya booking online kwa kugusa link hapo Chini ili kujisajili katika Orodha ya watakao Pata Huduma hii. Jisajili Hapa https://t.co/xYNd016N2H Kwa msaada zaidi piga no: 0747290559

Comments