π…π„πŒπ‚π‹πˆππˆπ‚ 𝐇𝐄𝐀𝐋𝐓𝐇𝐂𝐀𝐑𝐄 π’π„π‘π•πˆπ‚π„, π“π€ππ™π€ππˆπ€
π…π„πŒπ‚π‹πˆππˆπ‚ 𝐇𝐄𝐀𝐋𝐓𝐇𝐂𝐀𝐑𝐄 π’π„π‘π•πˆπ‚π„, π“π€ππ™π€ππˆπ€
February 13, 2025 at 04:54 AM
Habari Njema kwa wanafamilia wa Femclinic Healthcare service, Tanzania Tunaomba kuwakumbusha kuwa Siku ya kesho ,tarehe 13 February 2025 kutakua na Kliniki ya Ugonjwa wa Shinikizo la Damu Doctor Fedrick Mpenda Mshauri wa Magonjwa ya Ndani Atakuwepo Huru kupitia Mtandao(online) kutoa Huduma ya ushauri wa Lishe,Vipimo,Matibabu Na Mazoezi kwa wagonjwa wa Shinikizo la Damu(Known Hypertensive Patients). Karibuni sana kwa wote wenye uhitaji kwa changamoto ya Shinikizo la Damu, Mda ni Kuanzia saa Nne Asubuhi Mpaka Saa Kumi Jioni. Usisite kumwalika Ndugu,Jamaa Au Rafiki Kwani Huduma Hii ni BURE. Nyote Mnakaribishwa Unaweza kufanya booking online kwa kugusa link hapo Chini ili kujisajili katika Orodha ya watakao Pata Huduma hii. Jisajili Hapa https://t.co/xYNd016N2H Kwa msaada zaidi piga no: 0747290559 https://www.instagram.com/p/DF-u9O1NyC7/?igsh=MTYwcWh3c256ejBkcw==

Comments