
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
February 13, 2025 at 05:14 AM
Je, una maswali kuhusu ugonjwa wa shinikizo la Damu? Tuna Majibu!
Daktari wetu Mshauri wa Magonjwa ya Ndani yuko hapa kukusaidia kutunza Afya yako ya Moyo. Uliza chochote, na pata ushauri wa kitaalamu zaidi.
Kwa maelezo zaidi tupigie kwa 0747 290 559.
https://chat.whatsapp.com/HmDk9L2Y7zsDzDIJupDDwc