
๐
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐
February 13, 2025 at 06:15 AM
Habarini za Asubuhi ,Siku ya leo tunapatikanaย kwaajili ya Huduma ya Onlineย consultation kwa Magonjwa ya Ndani Specifically(Shinikizo la Damu). Kuanzia sasa unaweza kuweka Miadi kupitia
https://t.co/xYNd016N2H
Kwa kesi zote zinazosubiri ufuatiliaji tafadhali usisite kupiga simu.
+255747-290-559
+255688-971-032