
๐๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐, ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐
February 16, 2025 at 09:00 AM
Habari Njema kwa wanafamilia wa Femclinic Healthcare service, Tunaomba kuwakumbusha kuwa kila siku ya Jumatatu Daktari Mshauri wa Magonjwa ya wanawake Anakuwepo kutoa Huduma ya ushauri kwa wote wenye uhitaji kwa changamoto za Magonjwa ya wanawake, kuanzia saa Nne Asubuhi Mpaka Saa Kumi Jioni. Nyote Mnakaribishwa
Unaweza kufanya booking online kwa kugusa link hapo Chini ili kujisajili katika orodha ya watakao Pata Huduma hii.
Jisajili Hapa https://t.co/xYNd016N2H
Kwa msaada zaidi piga no: 0747290559
โค๏ธ
1