
π
ππππππππ ππππππππππ πππππππ, ππππππππ
February 17, 2025 at 05:21 AM
Habarini za Asubuhi ,siku ya leo Kuanzia Saa 4 Asubuhi Mpaka Saa 10 Jioni tunapatikanaΒ kwaajili ya Huduma ya OnlineΒ consultation Juu ya ugonjwa wa Fangasi sehemu za Siri. Na kuanzia sasa unaweza kuweka Miadi na Daktari kupitia Kiunganishi Hiki
https://t.co/xYNd016N2H
Kwa kesi zote zinazosubiri ufuatiliaji tafadhali usisite kupiga simu.
+255747-290-559
+255688-971-032
β€οΈ
2