𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
February 17, 2025 at 02:44 PM
📢 Tuna Namba Mpya!
Wapendwa wateja wetu, kama sehemu ya kujitolea kwetu kuboresha na kuendelea kutoa huduma bora, tumeboresha namba zetu za mawasiliano kwa Femclinic Healthcare service, Tanzania
Kwa Miadi: +255 747 290 559
Kwa Kliniki Binafsi yani Executive (VIP): +255 747 290 565
Kwa Dharura: +255 688 971 032
Endelea kuwasiliana nasi kwa huduma bora za afya!